simplebooklet thumbnail

my life

of 0
Jina langu ni Janeth Joseph sikiliza simulizi la maisha yangu mimi ni
mototo wa kwanza katika tumbo la mama yangu sikuwahi mfahamu baba
yangu maana mama yangu alibakwa wakati akiwa msichana wenye umiri wa
miaka kumi na nane. Alivyo bakwa alipata mimba na alipomweleza babu
alimfukuza nyumbani mama alikwenda kuishina baba mkubwa moshi mjini
mi nikiwa na miezi miwili aliishi na baba mkubwa hadi pale nilipozaliwa
nilipo fikisha miaka miwili mama alipata bwana hivyo wakafunga ndoa
nakuishi pamoja, baada ya miaka miwili mama akajifungua mdogo wangu
Maurine ikapita mwakaa tena akajifungua Ibrahim. niliwapenda sana
wadogo zangu nilisoma kwa bidii ilinijekuinua familia yangu kiuchumi
nilianza shule na kumaliza darasa la saba nakuendelea na elimu ya sekondari
nilipofika kidato cha nne wazazi wangu walikwaruzana, baba akamfukuza
mama nyumbani usiku tukaelekea kwa baba mkubwa mimi na wadogo zangu
pamoja na mama tulipofika tulipokelewa vizuri maana baba mkubwa
hakubarikiwa kuwa na watoto hivyo alikuwa anaishi yeye na mke wake
hivyo sisi hatukuwa mzigo mkubwa kwake maana alikuwa na uwezo pia
kiuchumi ndio aliekuwa akinilipia adaya secondary tulipofika atukukaa hata
wiki baba mkubwa akafariki kwa ajali pamoja na mke wake kwa ajali ya basi
mama alipatwaa na mshituko sana akadondoka chini tukampeleka
hospitalini daktari alipomuona aka sema kuwamgojwa wetu mbonakama
kasha fariki dereva wa baba mkubwa john akuamini daktari
alivyosema tukaamua kumpeleka kwenye hospitali kubwa ya taifa
k.c.m.c tulipo fika aliwahisha kwenye chumba cha wagonjwa walio zidiawa
sana. Daktari alituambia tu subiri hadi atakopo toka tulisubiri kama masaa
matatu daktari alitoka nje nakuturuhusu kwenda kumuona mama. hali
ya mama ilikuwa mabaya ali kuwa amelazwa huku mashine za kupumulia
zikifanya kazi, Daktari alianza tukuambia kuwa mama anasumbuliwa na
maradhi mengi hivyo tumuombee apone alitaka niende naye ofisini kwa
maelezo zaidi aaliniambia kuwa mama yangu ana amambukuzi ya virusi vya
ukimwi na pia anasumbuliwa na shindikizo la damu (presure) machozi
yalinitoka nikiwa nimekasa matumaini kama mama atarudi hali yake ya
mwanzo niliwaza kuwa na ukimwi nikama kutembea nakifo. baada ya
mazungu mzo na daktari nilirudi hodini kwenda kumwona mama,
nikamwomba kaka john awarudishe wadogo zangu nyumbani mi nkabaki
hospitalini na mama. ilipo fika asubuhi nilipigiwa simu niende nyumbanani
na bibi nkawazike baba mkubwa na mke wake, ulikuwa msiba wa machozi
na uchugu sana kumpoteza ndugu yetu nili lia sana nilipo mwona mke wake
baba mkuwa kwenye geneza nilikuwa kama namuona mama yangu ndo
anaenda kuzikwa. Msiba ulipo isha nilirudi tena hospitalini nikalala hadi
kesho yake mdogo wangu Maurine akanipigia simu vitu vyetu vina tupwa nje
na binamu zetu wakidai kuwa wao ndo wameridhishwa nyumba
nichanganyikiwa nikiwaza wapi pakwenda nilielekea hospitalini nikawaacha
wadogo zangu na mabegi njee ya geti nkaelekea ndani pale mama alipo lazwa
nkamkuta kapata fahamu, nilimshukuru Mungu sikumwambia kilicho tokea,
nilimwomba ruhusa niende kwenye chumba cha daktari, nikaelekea huko
ilinipate bili ya hosipitalini, nilipewa bili ya laki sita niliipokea nikawaza
sehemu yakuipata iyo ela nilirudi kule tulipo kuwa tunaishi kwa marehemu
baba mkuwa kwenda kuongea na ndugu zangu watupe makazi ya wiki mbili
tu, Mungu si athumani walikubali kuturudisha ,nikapata wazo niende
kumwambia baba kuwa mke wake amelazwa nilikwenda nyumbani kwa
baba nilimwambia lakini alinifukuza nje siku kata tamaa nilikwenda kwa
kaka yake mama naye aliniambia ana hela kabisa nilitokwa na machozi
nikamtafuta bibi ndugu Zangu wote lakini hakuna aliye weza kunisaidia
mzigo huo ikapita wiki sijaenda hospitalini kabisa kujua hali ya mama siku
moja nikaenda kumwona nilikuta kitanda kimesafishwa nikauliza
wahudumu wakaniambia mgonjwa alie kuwepo hapo alifariki ikapita siku
tatu hakuna ndugu waliekuja manispa ika mzika kwenye makaburi ya
manispa niliishiwa nguvu nikaa chini nililia sana nikaaamka na kwenda ofisi
za manispa ilinijue mahali mama alipo zikwa ndonkatoa taarifa kwa baba na
ndugu zangu kifo cha mama wakaja wakaomboleza nami baada ya msiba
kuisha waka ondoka ikapita wiki tukaja kufukuzwa kwenye ile nyumba na
mjomba tukaelekea mjini kutafuta sehemu yakuweza kujilanza hadi asubuhi.
Tulikwenda kulala kwenye nyumba ambayo aijamaliziwa iliyo telekezwa
yani golf tulilala hapo na kukakucha asubuhi nikanaza pilika pilika za
kutafuta mtaji mdogo ili nianze biashara yakuchoma mahindi nilifanya kila
kazi nisijali hii niya wanaume au mawanawke niliteseka kufanya kazi usiku
namchana ili wadogo zangu wasi lale njaa. Siku moja nilipata kibarua cha
kufagia barabara hivyo nilikuwa narudi usiku kila sila siku, siku moja kundi
la wanaume lilinikimbiza na kunikamata na kunibaka nilia kwa machungu
walivyo jilamisha kuniingila niliumia sana niliumwa sana sikuweza hata
kutembea nilipo inuka nilidondoka dondoka mpaka nikapoteza fahamu
sikuweza fikiri wanaume walivyo na roho mbaya kiasi hicho nili lala hapo
mpaka asubuhi ilipofika nikapata fahamu na kwenda pale wadogo zangu
walipokuwa wamelala nika fika nka mkuta Ibrahim ana umwa ilinibidi
nimpeleke hospitalini waka mpima waka gundua alikuwa aishi na virusi vya
ukimwi machoz yalinijaa moyoni ni kaamua nami nipime pamoja na wadogo
zangu wote majibu yalikuja wote tume adhirika tuna maambukizi ya vrusi
vya ukimwi nilitaman bora nife kuliko kuendelea kuteseka kwenye hii dunia
“Mungu wangu mbona unioni mimi nmekukosea nini mimi mpaka uniadhibu
kihasi hiki” ndio maneno niliyo jisemea huko nikilia kwa uchungu dakitari
alinitia moyo lakini ckutaka kumsikiliza, akilini mwangu kulikuwa
nakungojea siku ya kufa sina tena cha kusubiri hapa duniani Niliwalaumu
sana wazazi wangu kwa kunileta nife duniani nilijiuliza maswali mengi
nkakosa jibu kabisa nkabaki nalia nalia kwa uchungu tu. Tuliondoka pale
hospitalini nakuelekea pale tulipo kuwa tunaishi tuka mkuta mwenye lile
jengo akichoma nguo zetu tulipo fika tu alitufukuza tulikimbia maana
alituambia atatuitia polisi kwanini tuna jiwekea makazi sehemu ambapo sipo
kwetu tuliondoka tukiwa na nguo tulizo vaa mpata katikati mwajiji la moshi
uko tukiomba omba wapita njia pesa ya chakula nilikuwa namachozi sana
nkatamani nife ila nilipowatazama wadogo zangu nilijua bado wananiitaji
niwe jasiri kwajili yao ikafika usiku tulijikuta tuna elfu na miatano tu hivyo
tulikwenda kununa mahindi ili tule na kulala niliwaza jinsi gani yakupata
fedha kesho nilisubiri wadogo wanzangu walale nika toka nje kwenda kuuza
mwili wangu ilinipate kipato ambacho nita weza kuendesha biashara ya
kuchoma mahindi nilifanikiwa kununuliwa na baba mzee ambaye nililala nae
hadi asubuhi nikaamka na kwenda kutafuta niwapi naweza pata mahindi na
jiko lilinianze biashara mahindi nilifanikiwa kupata jiko, mahali na mahindi
nika anza biashara ya kuchoma mahindi ilinisaidia nikawa naweza kujilisha
mimi pamoja na wadogo zangu, kila siku Napata elfu kumi nikaenda kutafuta
nyumba ya udogo tukawa tunalipa kodi ya shs 5000 kwa mwezi ila iko mbaali
na mjini nilikuwa nikitembea kwa miguu hadi mjini, maisha kidogo yalikuwa
yakienda kwa vile naweza kupata mahitaji ya kila siku.
Siku moja nikiwa kijiweni nikichoma mahindi walikujaaskari na
kunikama na kunifikisha kituoni waki dai ile siyo sehemu ya biashara
nilifunguliwa kesi wakasema niamue kufungwa kwa kuvunja sheria au faini
ya shs 30,000 niliona kuliko nitoe ela nibora nifungwe nilifungwa wiki mbili
maabusu nilipo toka nilikuwa sina tena kazi yakufanya niliamua kuendelea
na biashara iliyo niletea mtaji siku moja alikuja baba mmoja kuninunua
akidai anataka kuniingilia kinyume na kimaumbile alikuwa akinipa laki moja
nilikubali nikaenda nae kwenye vyumba vya kulala wageni akafanya alicho
kitaka nilisikia maumivu makali sana ila nilivumilia huku machozi yakinitoka
wakati tendo linaendelea alipo maliza alikwenda kuoga nili chukuwa wallet
yake ili niibe pesa kidogo huku nikitetemeka kufungua wallet nikona picha
ya mama yangu imewekwa kwenye uso wa wallet nili shanga nakujiuliza
maswali mengi nili msubiri yule baba atoke bafuni nika muuliza iipicha niya
nani akasema ni mke wangu nikamuuliza yuko wapi akajibu yuko nyumbani
mbona unaniuliza maswali mengi sana nikakaa chini nakuanza kumuelezea
yote alisikitika sana na kudondokwa na machozi akaamua niende
kumsalimia mama nilifurahi kufahamu mama bado yuko hai nilipanda
kwenye gari lake usiku ule nikiwa nimevaa vibaya yule baba akaona vibaya
mimi kwenda kumuona mama nikiwa na mavazi yale alinipeleka kwenye
duka la nguo kubadili yale mavazi nilimshukuru sana natukaelekea
nyumbani kwake nilipo fika mama alikuwa amelala chumbani mfanyakazi
wa ndani akatumwa kwenda kumwamsha akaamka na kuja sebleni alipo
niona hakuweza kuni tambua kabisa akamuuliza mumewe uyu ninani
nilikuwa na furaha kumwona mama ila alipo kuwa anitambui moyo wangu
ulijawa na uzuni nikawaza nikakumbuka wadogo zangu nikaomba ruhusa
kwenda kuwa chukua baba yule alimwambia dereva wake anipeleke
nilikwenda kuwa chukuwa nakuwaleta hadi kwa mama nikiwa na picha za
nyuma wadogo zangu walifurahi sana kumwona mama tukanza kumuliza
ilikuwaje kupotea pale hospitalini alinza kutusimulia siku uvyo nipeleka
hospital ulipo ondoka nilizidiwa sana nka pelekwa usiku kwenye hodi ya
wagonjwa hahututi yani (I C U) ndipo nkatibiwa kwa uhakika nikapona na
nikawa nawasubiria mje kuniona lakini hakutokea kabisa uyu baba ni daktari
aliye nichukua nakutaka niishi kwake na ndipo akanioa niwe mke wake
nilikaa nawatafuta miaka yote ila niliwaza wanangu mtakuwa mnaishi
mazingira gani ni wazima au mekufa sikuweza fikiri kama iko siku
ntawaona” mama alilia sana nilimbembeleza nika mweleza yote tulio pitia
mpaka kujua kuwa tuna maambukizi ya virusi vya ukimwi, tukakaribishwa
na kupewa chumba cha kalala, Asubuhi tukaelekea wote hospitalini kwenda
kupima tena majibu yalirudi hatuna virusi nili mshukuru Mungu niliye kuwa
niki mwomba kwa malalamiko usiku na mchana tulirudi nyumbani nika
endelea na shule pamoja na wadogo zangu huko dhamira ikinisuta kwanini
nilili lala na baba yangu niliona nimweleze mama Mama atapa tena mshituko
nakukacrika sana niliona nibora nisimuumize mama kuendelea kuniona
nitazidi kumkasirisha. Siku moja ya jumapili nilipo toka kanisani nikiwa
chumbani kwangu niliandika waraka nilipo maliza nilijichoma kisu na
kuaaga maisha “mama na uhakika umeukuta waraka huu naomba unisamehe
kwa maamuzi niliyo yachukuwa tutakuta mahali pema peponi, Mama jua
nakupenda sana” hayo ni baadhi ya maneno yalio kuwepo kwenye waraka
uo. Mama aliamua kuchapa kwenye vitabu, watu wajue kuwa maisha
yanavyo weza kubadilisha mtu Rest in Peace Janeth.
Mwisho
Stori Na Casto Mlingi
Mawasiliano
+255 742 676 331